Ongeza kipato kwa kuwa Mshirika wa Michongo

Mshirika wa Michongo (Michongo Affiliate) ni program ya kimtando wa kijamii inayowezesha watu mbalimbali kulipwa kulingana na jitihada zao za kushea michongo kwa ndugu, jamaa na marafiki. 

Badala ya kutumia masaa mengi katika mitandano unaweza ukaongeza kipato kupitia mitandao ya kijamii kwa kujiunga na mfumo huu (michongo affiliate).

Nakala inayofaya itakuwezesha kujua ni kwa namna gani programu hii ya mshirika inaweza kufanya kazi. Mtu yoyote anaweza kujiunga na ushirika wa michongo. Kipato kitaongezeka pale tu utakaposhea mchongo na kununuliwa kupitia link yako, hivyo hakikisha unajiandikisha kwenye programu hii ili utambulike kwa kampuni kinyume na kufanya hivyo hutotambulika na hutopokea pato lako

 Jinsi ushirika wa Michongo unafanya kazi

Michongo imeleta karibu uwezo wa kuunganisha watumiaji na mitandao ya kijamii ili uongeza ufikiaji wa watu. Pata kipato kwa kushea linki ya mchongo na ukanunuliwa kwa kutumia link hiyo.

Pato lako likifikia kiwango cha chini cha malipo litalipwa mwisho wa mwezi

 

The math is really simple, you refer buyers to us, we reward you with cash, that's it. The more clients you refer, the bigger the rewards! 

 

Contact us

  • Shamo Park House, Mezi Beach
  • Telephone: (+255) 768- 816728
  • E-mail: sales@michongo.co.tz