Kitabu hiki kina mkusanyiko wa nahau zaidi ya 650, maana zake pamoja na matumizi yake.
Kitabu hiki kimeandaliwa ili kiweze kufaa kwa matumizi ya kufundishia na kuburudisha nyumbani na shuleni. Wazazi, walezi na waalimu wanaweza kutumia kitabu hiki kufunza watoto na vijana kionjo hiki muhimu cha lugha ya Kiswahili.
Vendor
Elite Bookstore
More Products From This Vendor